News

JOIN OUR THS GROUP TO GET UPDATED ON 2024 TANZANIA HEALTH SAFARI"
Follow this link to join my WhatsApp group: https://chat.whatsapp.com/C83POOvvpD9Bs0ooRjWYeH Share link hii ili watu wapate taarifa za Tanzania Health Safari kwa wingi. Asanteni wote

TANZANIA HEALTH SAFARI UPDATES
Officially naomba tuwatangazie kuwa kwa mwaka huu tutakuwa na ratiba mbili kama Tanzania Health Safari. 01. Ratiba ya gathering ya hapa mkoa wa Dar Es Salaam na hii itakuwa ni 1 Year Anniversary ya Tanzania Health Safari 🔥🔥🔥 Itakayo fanyika mwezi wa sita mwishoni. 02. Tutakuwa na Tour yetu ya nje ya mkoa ya kibabe sana itakayofanyika mwezi wa 10. Kwa hiyo wale wenye kupanga ratiba zenu muanze kuweka mambo fresh kabisa maana mwaka huu mambo yatakuwa ni 🔥🔥🔥🔥🔥

REGISTRATION OPENED FOR TANZANIA HEALTH SAFARI
KUELEKEA KWENYE TOUR YA TANZANIA HEALTH SAFARI,TUNAKUMBUSHIA WATUMISH WOTE WA AFYA NA WADAU WANAOTAMANI KUUNGANA NASI TAREHE 25 NA 26 MWEZI WANANE KUELEKEA MIKUMI WAENDELEE KUJISAJIRI KUPITIA NAMBARI 0768089431